1 thought on “Fally Ipupa Apewa Heshima Kubwa na Rais Tshisekedi

  1. Nampongeza Fally Ipupa Nsimba kwa kupata tuzo hiyo. Huyu mwanamuziki alishaonyesha ana kipaji kikubwa tangu akiwa bendi ya Quartier Latin na, alipoondoka hapo mwaka 2006, niliamini atafanikiwa sana. Mungu amjalie azidi kufanikiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *