Skip to content
September 20, 2026
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
Radio Kwizera FM

Radio Kwizera FM

Jukwaa la matumaini

Your browser does not support live audio playback.
next try in 00:00
Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA NA UCHUMI
    • AFYA NA ELIMU
    • Magazeti
  • KIMATAIFA
    • AFRICA MASHARIKI
  • MIchezo
  • BURUDANI
  • VIDEO
    • HABARI
    • MICHEZO
    • ASUBUHI NJEMA
    • MCHAKATO
    • BURUDANI
    • MSETO LEO
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
    • HISTORIA
    • VIPINDI
    • TIMU YETU
    • PAKUA APP YETU
  • WASILIANA NASI
    • SERA YA FARAGHA
    • MASHARTI YA MATUMIZI
Light/Dark Button
Maaskofu Katoliki walaani vurugu zinazolenga raia wa Ethiopia cq5dam.thumbnail.cropped.750.422 (2)
  • Dini
  • Habari

Maaskofu Katoliki walaani vurugu zinazolenga raia wa Ethiopia

Amina Semagogwa March 13, 2026 0
Mkutano wa Maaskofu Wakatoliki wa Ethiopia (CBCE) umelaani vikali wimbi la vurugu dhidi ya raia katika eneo...
Read More Read more about Maaskofu Katoliki walaani vurugu zinazolenga raia wa Ethiopia
Kardinali Krajewski ateuliwa Askofu Mkuu Poland cq5dam.thumbnail.cropped.750.422 (1)
  • Dini
  • Habari

Kardinali Krajewski ateuliwa Askofu Mkuu Poland

Amina Semagogwa March 13, 2026 0
Baba Mtakatifu Papa Leo XIV, amemteua Konrad Krajewski kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la ลรณdลบ nchini...
Read More Read more about Kardinali Krajewski ateuliwa Askofu Mkuu Poland
Wawili hawajapatikana, wanne waokolewa ajali ya mtumbwi Kigoma Mtoni 2
  • Ajali
  • Habari

Wawili hawajapatikana, wanne waokolewa ajali ya mtumbwi Kigoma

Marco BP March 12, 2026 0
Naomi Milton- Kigoma Watu wawili wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wanne wakiokolewa kufuatia ajali ya mtumbwi uliozama...
Read More Read more about Wawili hawajapatikana, wanne waokolewa ajali ya mtumbwi Kigoma
Tanzania: Mgogoro Mashariki ya Kati haujaathiri sekta ya mafuta sheri ya mafuta
  • Biashara na Uchumi
  • Habari

Tanzania: Mgogoro Mashariki ya Kati haujaathiri sekta ya mafuta

Asma Ahmed March 12, 2026 0
Serikali ya Tanzania imesema kuwa licha ya mzozo unaoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati, hadi sasa...
Read More Read more about Tanzania: Mgogoro Mashariki ya Kati haujaathiri sekta ya mafuta
Vijana kuwezeshwa kiuchumi kupitia sekta ya habari sanaa na ubunifu MAKONDA
  • Biashara na Uchumi
  • Habari

Vijana kuwezeshwa kiuchumi kupitia sekta ya habari sanaa na ubunifu

Asma Ahmed March 12, 2026 0
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza uwepo wa mfuko wa jumla ya Shilingi...
Read More Read more about Vijana kuwezeshwa kiuchumi kupitia sekta ya habari sanaa na ubunifu
Taasisi ya Nelson Mandela na Global Education Link wakubalina kutangaza Ubunifu wa Tanzania image
  • Habari
  • Teknolojia

Taasisi ya Nelson Mandela na Global Education Link wakubalina kutangaza Ubunifu wa Tanzania

KANYESHA Faustine KAMPAYANA March 12, 2026 0
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kwa kushirikiana na Taasisi ya Global Education...
Read More Read more about Taasisi ya Nelson Mandela na Global Education Link wakubalina kutangaza Ubunifu wa Tanzania
Mfanyabiashara Rostam kuongeza wigo Kampuni ya Nation Media Group Rostam
  • Habari
  • Kenya

Mfanyabiashara Rostam kuongeza wigo Kampuni ya Nation Media Group

ZAWADI Bashemela March 11, 2026 0
Mfanyabiashara na mwekezaji wa Tanzania, Rostam Aziz amesema uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG)...
Read More Read more about Mfanyabiashara Rostam kuongeza wigo Kampuni ya Nation Media Group
Rais Samia amuasili mtoto aliyetelekezwa Nzega, Tabora Mtoto
  • Habari
  • Jamii

Rais Samia amuasili mtoto aliyetelekezwa Nzega, Tabora

ZAWADI Bashemela March 11, 2026 0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo...
Read More Read more about Rais Samia amuasili mtoto aliyetelekezwa Nzega, Tabora
Ukosefu miche ya Kahawa waleta changamoto kwa wakulima Karagwe kahawa
  • Habari
  • Kilimo

Ukosefu miche ya Kahawa waleta changamoto kwa wakulima Karagwe

Rehema Ruhotora March 10, 2026 0
Baadhi ya wakulima wa zao la kahawa wilayani Karagwe Mkoani Kagera wamelalamikia kukosa miche ya zao hilo...
Read More Read more about Ukosefu miche ya Kahawa waleta changamoto kwa wakulima Karagwe
Upatikanaji wa bidhaa za afya nchini wafikia asilimia 88.8. UPATIKANAJI WA DAWA NA BIDHAA ZA AFYA WAONGEZEKA HADI ASILIMIA 88.8Na, Aisha Swahibu, WAF - Dod
  • Afya
  • Habari

Upatikanaji wa bidhaa za afya nchini wafikia asilimia 88.8.

ZAWADI Bashemela March 10, 2026 0
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya nchini,...
Read More Read more about Upatikanaji wa bidhaa za afya nchini wafikia asilimia 88.8.

Posts pagination

Previous 1 … 27 28 29 30 31 32 33 … 42 Next

Kuhusu Sisi

Radio Kwizera

Radio Kwizera ilianzishwa mnamo mwaka 1995 na shirika la huduma kwa wakimbizi la Kijesuiti (Jesuit Refugee Service - JRS) ili kutoa huduma za kijamii, elimu, na habari kwa wakimbizi kutoka Rwanda na Burundi waliokuwa wanaishi katika kambi za wakimbizi mkoani Kagera na Kigoma, Tanzania. Kwa sasa, Radio Kwizera imekua na kupanua huduma zake hadi kufikia mamilioni ya watu katika mikoa ya Kagera, Kigoma, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Singida, na hata maeneo ya nchi jirani za Rwanda, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

MATANGAZO

safi
Wadau wataka nishati safi iwafikie wananchi Vijijini
kitima-pic
TEC: Waliokosea Kabla na Baada ya Uchaguzi Waombe Radhi ili tusonge mbele
DSC_2003
Picha za matukio ya kijana smart
Kwizera Logo
Listen toย Radio Kwizera FM
RK ADs
Wateja wanakusubiri

ULIZOKOSA

WAZIMA
  • Elimu
  • Habari

Elimu ya watu wazima kuwa chachu ya maendeleo Kagera

Rehema Ruhotora September 17, 2026 0
WhatsApp Image 2026-09-16 at 4.13.33 PM
  • Elimu
  • Habari

Mwamko duni wa vijana watajwa kukwamisha mfumo wa elimu ya watu wazima Kagera

Rehema Ruhotora September 17, 2026 0
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ CAF President Dr Patrice Motsepeโ€™s visit to Tanzania-๐ŸŸ๏ธ Inspection โœ… ๐ŸŽ™๏ธ Press conference
  • MIchezo

MOTSEPE:HAKUNA MPANGO WA KUITOA AFCON AFRIKA MASHARIKI

ABUBAKAR West September 17, 2026 0
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Ali Abdugulam Hussein ametembelea mazoezi y
  • MIchezo

ZANZIBAR KUTUMIA AFCON 2027 KUOMBA UANACHAMA

ABUBAKAR West September 17, 2026 0
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
Copyright ยฉ Radio Kwizera | Backend: Mukulu SJ | MoreNews by AF themes.