Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo amesimikwa rasmi kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo Katoliki Bariadi katika ibada iliyofanyika...
Amina Semagogwa
Amina Deogratius Semagogwa (SEMA G)
ni mwandishi wa habari na mtangazaji mahiri wa Radio mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika tasnia ya habari, Amebobea katika kuandaa na kuendesha vipindi vyenye uzito vinavyolenga kuibua mijadala ya kijamii, hususan katika malezi bora ya watoto na masuala ya utawala bora.
Kupitia kalamu na sauti yake Amina ametunukiwa tuzo zaidi ya 10 za uandishi bora wa habari nchini Tanzania , Amina amejijengea nafasi ya kuwa daraja kati ya jamii na maarifa, akiamini kuwa uandishi wa habari si kuripoti tu bali ni chombo cha kuelimisha, kuhamasisha na kuleta mabadiliko chanya, Ana mtindo wa kipekee unaochanganya weledi, uchambuzi na uwasilishaji unaogusa maisha halisi ya watu.
Kauli mbiu: Sauti ya jamii, dira ya mabadiliko.
Viongozi wa Makanisa ya Kikristo ndani ya Baraza la Makanisa la Sudan Kusini (SSCC) wametoa wito wa...
Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda, Simon Masondole amesema maadhimisho ya kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, anatarajiwa kuanza ziara rasmi katika mataifa manne ya Afrika kuanzia...
Mkutano wa Maaskofu Wakatoliki wa Ethiopia (CBCE) umelaani vikali wimbi la vurugu dhidi ya raia katika eneo...
Baba Mtakatifu Papa Leo XIV, amemteua Konrad Krajewski kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la ลรณdลบ nchini...
Baba Mtakatifu Pope Leo XIV ametoa idhini ya kuwaweka wakfu mashemasi nane katika Daraja la Upadre na...
Papa Leo wa XIV ameonesha huzuni kubwa kufuatia vifo vya watu wasio na hatia vilivyosababishwa na mashambulizi...
Mwanachuoni na mhubiri maarufu nchini, Sheikh Hilal Shawej ‘Kipozeo’, ametoa wito kwa waumini wa dini ya Kiislamu...
Shirika la ndege la Tanzania, Air Tanzania limetangaza mpango wa kuwarejesha nyumbani raia wa nchi hiyo walioathiriwa...
